PROF NDALICHAKO Ambaye ni Waziri wa Elimu wa serekali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania amewasimamisha masomo walimu ambao walikuwa wanatuhumiwa Kumpiga mwanafunzi wa Shule ya Secondary Mbeya Day, Walimu hao ambao walikuwa katika masomo ya Vitendo yaani field ambao ni
FRANK MSIGWA KUTOKA "DUCE",,Huyu ndiye mwalimu anayeonekana kwenye video akimwadhibu MWANAFUNZI KWA nguvu zote !
FRANK MSIGWA KUTOKA "DUCE",,Huyu ndiye mwalimu anayeonekana kwenye video akimwadhibu MWANAFUNZI KWA nguvu zote !
No comments:
Post a Comment