AJALI YA MOTO YA RIPOTIWA DAR ES SALAAM
Ajali ya moto imeripotiwa kutoka katika Jiji la Dar es salaam katika mtaa wa Madale, ambapo watu wawili wameripotiwa kujeruhiwa mpaka sasa na thamani halisi ya maduka hayo haijafahamika, chanzo chetu cha habari kinaendelea kufuatilia kujua nini hashwa kilicho sababisha ajali!
No comments:
Post a Comment