HABARI, BIASHARA, MUSIC, SIASA, MICHEZO,

Monday, 17 October 2016

Kenya Airway yakumbwa na uhaba wa                                    wafanya kazi

Shirika la ndege la taifa la Kenya, Kenya Airways jana asubuhi lililazimika kuharisha kwa muda safari zake za kutokea Jijini Nairobi, kwa kile walichoeleza kuwa ni kutokana na uhaba wa watumishi wa ndege.



Ndege za shirika hilo zilizoahirisha safari kwa muda ni zile za safari ya kutoka Nairobi kwenda Mombasa, Kilimanjaro, Juba, Lusaka/Harare na Maputo, hali iliyochangiwa na kitendo cha wafanyakazi kutofika kazini.
Nayo ndege namba 782 iliyokuwa ikienda Livingston/Capetown ilichelewa kuondoka, kutokana na baadhi ya wafanyakazi wa shirika hilo kuwa kwenye mazungumzo ya kutatua baadhi ya maslahi yao na muajiri wao.

No comments:

Post a Comment