HABARI, BIASHARA, MUSIC, SIASA, MICHEZO,

Saturday, 8 October 2016

PART TWO YA CLUB YA YANGA KUKODISHWA KWA KAMPUNI YA YANGA YETU LTD
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kupitia kwa Katibu wake Mohammed Kiganja wamesitushwa na kitendo cha Club ya Yanga kukodishwa kwa Kampuni ya Yanga yetu Ltd kwa madai ya kwamba hawajafuata utaratibu unavyo takiwa ya kwamba wamefanya maamuzi bila kufuata Katiba ya Club hio. Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam Katibu mkuu wa BMT Mohammed Kiganja ameeleza kwamba Kwanza Kamati ya Baraza la wadhamini la club hio ni Kamati ya mpito iweje wasaini mkataba wa Ukodishwaji wa club hio kwa kampuni ya yanga yetu?

No comments:

Post a Comment