Wakazi wa mji wa Dodoma wameipokea Kampuni ya usambazaji ges ya Kupikia majumbani kwa shangwe kubwa mno kutokana na wakazi hao kulanguliwa kwa muda mrefu sasa.
Hata hivyo Uongozi wa Kampuni ya MANJIS GAS umewaomba radhi wakazi hao kwa kuchelewa kuwafikishia huduma hio na kufanya upatikanaji wake uwe rahisi na kwa bei Nafuu zaidi tofati na mwanzo

No comments:
Post a Comment