HABARI, BIASHARA, MUSIC, SIASA, MICHEZO,

Friday, 25 November 2016

TECNO AFUATA NYAYO ZA KING KIBA NA DAVIDO SONY

Msanii wa Nigeria Tekno amesaini Mkataba na Kampuni Kubwa ya  Muziki SONY MUSIC.
Ni uwazi usiopingika kwamba Tekno amekuwa Kioo cha wasanii wengi kwa sasa kwa Afrika yetu na hata nje ya Afrika kwa sasa wasanii wengi nje ya Afrika Wanamuangalia sana Tekno.Hakika hawajakosea Sony Music Kumuongeza Tekno kwenye List.
Tekno amepost kipande cha Video wakati wanasiani Deal hiyo akiwa na CEO of Upfront & Personal, bila kumsahau Boss wake wa  Triple MG Record Label, Ubi Franklin.
Hongera sana kwa, Tekno! na Anakuwa Msanii mwingine aliyejiunga na Sony Music na anaungana na Ali Kibawa Tanzania na Davido ambaye pia anatokea Nigeria

No comments:

Post a Comment