Manchester United watakutana na Reading katika hatua ya klabu 32 bora michuano ya Kombe la FA baada ya droo kufanywa Jumatatu.
Mkufunzi wa Reading ni beki wa zamani wa Manchester United Jaap Stam.Chelsea nao watakutana na mshindi kati ya Petersborough na Notts County.
Michuano hiyo ya raundi ya tatu itachezwa kati ya 6 na 9 Januari, 2017.
West Ham watakuwa wenyeji wa Manchester City kwenye mechi itakayokutanisha klabu za Ligi za Premia, huku wenzao Everton wakiwa wenyeji wa Leicester City.
Droo za Raundi ya tatu Kombe la FA | |
---|---|
Ipswich v Lincoln | Barrow v Rochdale |
Manchester United v Reading | Hull v Swansea |
Sunderland v Burnley | QPR v Blackburn |
Millwall v Bournemouth | West Ham v Manchester City |
Brighton v MK Dons/Charlton | Blackpool v Barnsley |
Wigan v Nottm Forest | Birmingham v Newcastle |
Chelsea v Peterborough/Notts County | Middlesbrough v Sheff Weds |
West Brom v Derby County | Everton v Leicester |
Liverpool v Newport/Plymouth | Wycombe v Northampton/Stourbridge |
Watford v Burton Albion | Preston v Arsenal |
Cardiff v Fulham | Stoke v Wolves |
Cambridge Utd v Leeds | Bristol City v Shrewsbury/Fleetwood |
Huddersfield v Port Vale | Tottenham v Aston Villa |
Brentford v Halifax/Eastleigh | Bolton v Crystal Palace |
Norwich v Southampton | Sutton Utd v AFC Wimbledon |
Accrington v Luton | Rotherham v Oxford/Macclesfield |
No comments:
Post a Comment