HABARI, BIASHARA, MUSIC, SIASA, MICHEZO,

Monday, 17 October 2016

Breaking News!!!


#HABARIZAHIVIPUNDE:Watu wanne wamefariki dunia na wengine 18 wamejeruhiwa katika ajali ya Basi la kampuni ya Barcelona eneo la Miteja mkoani Lindi,zoezi la uokoaji bado linaendelea .
Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.

No comments:

Post a Comment