HABARI, BIASHARA, MUSIC, SIASA, MICHEZO,

Tuesday, 25 October 2016

ChrisBrown na Wizkid Long time kitambo wanajuana!!! Cheki alicho kipost Nyota Huyu wa R&B toka state!!


Mtu wangu najua unafahamu Chris Brown na Wizkid walianza kuwa karibu wakati ambao Breezy alikwenda West Africa kufanya show na kumuita Wizkid jukwaani ambapo alifanya naye show live. Sasa nimeipata hii kutoka Instagram ya Breezy ikionesha post yake yenye picha ya Wizkid.
International R&B singer Chrisbrown ameonesha love wazi kwa Superstar Wizkid ambaye weekend iliyopita ilikua nzuri sana kwake baada ya kushinda tuzo nne za MTVMAMA2016.
Chrisbrown ameishea picha ya Wizkid kupitia Instagram akiwa amevaa Jezi ya blackpyramid (Home Team Football Jersey).
Black Pyramid ni brand ya nguo zinazomilikiwa na Chris Brown ikiwa na matoleo ya kofia, masweta yenye kofia maarufu kama hoodies, jackets, pants,pamoja na jeans.

No comments:

Post a Comment