HABARI, BIASHARA, MUSIC, SIASA, MICHEZO,

Saturday, 15 October 2016

Hatimae Mkali wa Bongo flavor Tunda Man Apata Jiko Rasmi!! http://salymjuma.blogspot.com
Tunda Man ni miongoni mwa Waimbaji wa siku nyingi kutokea TipTop connection, nakumbuka mwaka huu mwanzoni alitoa ahadi kwamba Mungu akijalia kabla mwaka haujaisha ataingia kwenye ndoa na kweli katimiza ahadi.

No comments:

Post a Comment