Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameendelea na ziara yake Dar es salaam, November 20 2016 akiwa Kigamboni alitembelea kiwanda cha Milkcom kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa kiwandani hapo.
Alipofika kiwandani hapo, pamoja na mambo mengine RC Makonda amezungumzia suala la kuwapatia visa kwa urahisi kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam wafanyabiashara wa kati wanaotaka kwenda kuchukua bidhaa China, RC Makonda amesema…..
>>>’Baada ya ziara yetu hii tunategemea kuwa na mkutano na wafanyabiashara wa kati wanaoenda China kuchukua bidhaa, tumeshaongea na ubalozi wa China watakuwa wanapatiwa visa bila usumbufu kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa’
Unaweza ukaitazama hii video hapa
No comments:
Post a Comment