HABARI, BIASHARA, MUSIC, SIASA, MICHEZO,

Wednesday, 9 November 2016

VYAMA VITATU VYA SIASA VYAFUTWA LEO!

Leo November 9 2016 Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ametangaza kuvifutia usajili wa kudumu vyama vya CHAUSTA, APPT Maendeleo na Jahazi Asilia baada ya zoezi la uhakiki ambapo ilibainika kuwa vyama vya siasa hivyo vimepoteza sifa za usajili wa kudumu kwa kukiuka masharti ya vyama vya siasa.

No comments:

Post a Comment