Nishati Bora kwa Gharama Nafuu
Wewe Mtu wangu wa nguvu! angalia Faida Hizi utakazo zipata ukitumia nishati mbadala ya kupikia kutoka MANJIS GAS!!! Kiukweli hawa jamaa mimi nawakubali sana na mimi mwenyewe pia Natumia mtungi wao wa Gesi!!
- . kwanza bei zao huwa ni Nafuu sana!!
- .Pili Hawa jamaa huwa wanajali wateja wao kweli, huwa wanatoa elimu ya matumizi ya ges majumbani, viwandani na kungineko!
- . Kingine ambacho hata mimi swaiba wako kimenifurahisha ni kwamba hawa Jamaa wanapatikana kila mahali yani hata uishiwe Gesi saa Nne za usiku unatoka nje kwako au unampigia simu wakala wao anakuletea mtungi wa gesi!!
Wacheki kwa Namba Hizi apa 0756(manjis) 626 547 halafu Tutakuwa mimi na wewe Tumejiunga na Familia ya MANJIS GAS.
No comments:
Post a Comment